Mmh 4k?Inategemea utafika saa ngapi makambako Ila Kama utafika usiku inabidi ulale pale then asubuhi Kuna gari nyingi pale ,ukifika makambako ulizia stend ya zamani hapo ukiuliza mtu yeyote atakuelekeza gari za mgololo bei ni 4000 Hadi 6000 kutegemea utapanda coaster au Noah kuhusu gesti zipo gaharama ni 4000 Hadi 7000
Telemkia mafinga utachukua vile vigari vidogo vipo njiapanda ya kwenda jeshini na ndio njia ya kwenda mufindi. Mwambie dereva akushushe gogo beach. Pale kuna gest na lodge na sio mbali na kiwanda cha makartasi. Ukifika nitafute mie mwenyeji wako naitwa mzee lenad nyenza
Msaidie mwenzio basi kama unapajua?Pumba
Si ndio gari la kwenda huko. Kuhusu gesti ulizia wivu si dawa lodge. Siku hizi kunguni wamepungua sanammmh njombe tena mkuu,namaanisha mgololo kwenye kiwanda cha karatas
Boss gogo beach si iko Nyangugulu? Huyu anaenda Mgololo..Kama unampoteza vile .lol..mwanyenza bwana😷
Sio kweli mkuu...sio karibu..ni 2-2.5hrs..why alale hapo?hivi Yule mtoto wa gogo beach yupogo?Lakini ni karibu tu na kiwanda nikiimanisha pale pamechangamka anaweza pata nyumba za wageni.
Sio kweli mkuu...sio karibu..ni 2-2.5hrs..why alale hapo?hivi Yule mtoto wa gogo beach yupogo?
Ni binamu yangu yule mchinja ng'ombe bado yupo sana tu. Anaitwa abdul kama sidhani
Mafinga hakuna trenishuka mafinga next day panda coaster au panda tren-tazara moja kwa moja
Niliposema moja kwa moja nilimaanisha kutoka DarMafinga hakuna treni
Mwambie konda akushushe sehemu inaitwa Igawa baada ya hapo utaingia Mbarali mpaka Iringa hapo utatokea Makambako then utaelekea Njombe na kutokea Mgololo
Inategemea utafika saa ngapi makambako Ila Kama utafika usiku inabidi ulale pale then asubuhi Kuna gari nyingi pale ,ukifika makambako ulizia stend ya zamani hapo ukiuliza mtu yeyote atakuelekeza gari za mgololo bei ni 4000 Hadi 6000 kutegemea utapanda coaster au Noah kuhusu gesti zipo gaharama ni 4000 Hadi 7000
Niliposema moja kwa moja nilimaanisha kutoka Dar