Akiteremka Njombe apande daladala imeandikwa CHAKO NI CHAKO HATA KAMA NI UCHAWI.Mwambie konda akushushe sehemu inaitwa Igawa baada ya hapo utaingia Mbarali mpaka Iringa hapo utatokea Makambako then utaelekea Njombe na kutokea Mgololo
Habarin wanajamvi,
kwa wale wajuvi wa kuzunguka nchi nawezaje kufika mgololo nikitokea dar? je mgololo kuna sehem za kulala kama lodge na guest house? nishukie mafinga au makambako na baada ya hapo usafiri upoje na ni wa mda gani? na nauli zao zipoje.
natanguliza shukran.
asante sana mkuu me natoka dar na basi la mbeya kuna watu wanishauri nishukie.mafinga na wengine makambako kwa uzoefu wako wapi sehem sahihi kushukia na ntwahi kufika hko mgololo.Inategemea utafika saa ngapi makambako Ila Kama utafika usiku inabidi ulale pale then asubuhi Kuna gari nyingi pale ,ukifika makambako ulizia stend ya zamani hapo ukiuliza mtu yeyote atakuelekeza gari za mgololo bei ni 4000 Hadi 6000 kutegemea utapanda coaster au Noah kuhusu gesti zipo gaharama ni 4000 Hadi 7000
Shukia makambako usafiri wa uhakika muda utakaofika mgololo ni saa 7-9asante sana mkuu me natoka dar na basi la mbeya kuna watu wanishauri nishukie.mafinga na wengine makambako kwa uzoefu wako wapi sehem sahihi kushukia na ntwahi kufika hko mgololo.
ikumbukwe basi.inaanza kufika mafinga ndo inaenda makambako
Wakati nimefuata cheti changu cha form 4 kule Mbeya, nililala guest ya Tsh 5,000; Yanii, ni bora tu ningelala chini ya mwembe.Unaweza shuka Mafinga au Makambako. Gari huwezi kukosa. Nyumba za wageni zipo ila usitegemee nyota 1,2,3,4 au 5. We ridhika na utakachopata. Ukifika wasalimie Mabaoni na Makungu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] bush uwe na ndugu. Mambo ya Lodge/Guesthouse acha.Wakati nimefuata cheti changu cha form 4 kule Mbeya, nililala guest ya Tsh 5,000; Yanii, ni bora tu ningelala chini ya mwembe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MkuuWakati nimefuata cheti changu cha form 4 kule Mbeya, nililala guest ya Tsh 5,000; Yanii, ni bora tu ningelala chini ya mwembe.
Shuka mafinga...lala hapo asbh panda coaster za mgololo..koti na sweta na mzula usiacheasante sana mkuu me natoka dar na basi la mbeya kuna watu wanishauri nishukie.mafinga na wengine makambako kwa uzoefu wako wapi sehem sahihi kushukia na ntwahi kufika hko mgololo.
ikumbukwe basi.inaanza kufika mafinga ndo inaenda makambako
Telemkia mafinga utachukua vile vigari vidogo vipo njiapanda ya kwenda jeshini na ndio njia ya kwenda mufindi. Mwambie dereva akushushe gogo beach. Pale kuna gest na lodge na sio mbali na kiwanda cha makartasi. Ukifika nitafute mie mwenyeji wako naitwa mzee lenad nyenzamkuu mgololo ya mufindi namaanisha hko kwenye kiwanda cha karatasi
Una roho ya wajumbe πMwambie konda akushushe sehemu inaitwa Igawa baada ya hapo utaingia Mbarali mpaka Iringa hapo utatokea Makambako then utaelekea Njombe na kutokea Mgololo
Unajua kila kitu ila unatujaribu na kutupotezea wakati.kwanin umeita pumba uzi wangu mkuu?
Usipende kulala guest house zilizo karibu na stand kuu za mabasi utaliwa na kunguni kinyama, wengine utarudi nao kwenu kama wa mbegu au zawadi ukapandikize .Wakati nimefuata cheti changu cha form 4 kule Mbeya, nililala guest ya Tsh 5,000; Yanii, ni bora tu ningelala chini ya mwembe.