Naomba msaada Mwenye paper la physics A level mwaka huu 2016 may

thebracky

Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
46
Reaction score
5
Oi wana Mwenye paper la necta physics waliopiga mwaka huu may anidondosheee
 
Ani we mtoto Nongo sana! Unatuambia sisi "Oi" kama watoto wenzio. Hivi ndivyo ulivyofunzwa na familia yako?

Yakheed!

Paper kamuulize mwalimu wako wa Somo. Paper zote zinapatikana Ofisi za Mwalimu wa Taaluma au library ya Shule.

Kama ukikosa nenda shule za Jirani. Tatizo hukazani,kila kitu unataka utafuniwe humu. Kwenda huko kasome Mechanics.
 
Point of corrections
Am no longerA level student ila kama kuna mtu anaweza nisaidia then he or she can go ahead ......
 
Ani we mtoto Nongo sana! Unatuambia sisi "Oi" kama watoto wenzio. Hivi ndivyo ulivyofunzwa na familia yako?

Yakheed!

Paper kamuulize mwalimu wako wa Somo. Paper zote zinapatikana Ofisi za Mwalimu wa Taaluma au library ya Shule.

Kama ukikosa nenda shule za Jirani. Tatizo hukazani,kila kitu unataka utafuniwe humu. Kwenda huko kasome Mechanics.
Daaah samahan mkubwa be wise ..... U don't have the paper den u shouldn't be speaking ol dis
 
Back
Top Bottom