Naomba msaada mwenye kufahamu bei za incubator

brton

Member
May 7, 2019
58
95
IDD mubarack to you all, km nlivoeleza naomba msaada mwenye kufahamu bei za incubator anijulishe nina mpango wa kutotolesha mayai, pia naomba msaada kwa mwenye uzoefu na biashara hizi, mi Nina kuku sasso ila huwa nachukua tu vifaranga but now nahitaji kukuza biashara yangu kwa kutotolesha mayai mwenyewe
 
Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
2,945
2,000

Mi ninayo incubator naiuza, kama upo tayari Localy made ipo imara sana.nilitotoleshea mara mbili tu.inatotoa asolimia 80 kuendelea, haina themometer.mayai 240. 4k ntakuachia.
 
Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,248
2,000
IDD mubarack to you all, km nlivoeleza naomba msaada mwenye kufahamu bei za incubator anijulishe nina mpango wa kutotolesha mayai, pia naomba msaada kwa mwenye uzoefu na biashara hizi, mi Nina kuku sasso ila huwa nachukua tu vifaranga but now nahitaji kukuza biashara yangu kwa kutotolesha mayai mwenyewe
Bei ya incubators inategemeana na mambo kadhaa ikiwemo
1. Mode of operation ...hapa ni automatic au manual.
2. Imeundwa ndani ya nchi au nje ya nchi nayo ni nchi gani ikitofautisha materials
3. Inatumia nishati gani ...mafuta ya taa, Umeme,solar, generator au vyote.
4. Ina ukubwa gani yaani INA uwezo wa kubeba Mayai mangapi kwa wakati...
5. Etc...

Ukiweza juwa unahitaji nini ni rahisi kukushauri accordingly na wapi uwapate wanunuzi...
Nakutakia Heri katika ufugaji, karibu tufuge kwa tija..
 
Asante nimefurahishwa sana na maelezo yako mkuu binafsi napenda quality brand wastan itotoleshe mayai 300 au zaidi, natumia umeme, nishauri nitaipata wapi na bei zipoje
 
Avriel

JF-Expert Member
Jun 25, 2017
4,248
2,000
Asante nimefurahishwa sana na maelezo yako mkuu binafsi napenda quality brand wastan itotoleshe mayai 300 au zaidi, natumia umeme, nishauri nitaipata wapi na bei zipoje
Kuna automatic ambapo Mayai hujiegeuza yenyewe na manual ambapo utakuwa unageuza Mayai Wewe kwa muda maalumu, zipo zinazotengenezwa ndani ya nchi japo sijajua kama hawa watengenezaji wa ndani wanaweza tengeneza zile automatic, na pia zipo kutoka nje ya nchi kuna mawakala wa makampuni, bei hutofautiana hazipo sawa kwa wote, ubora pia hutofautiana.
Sijawahi zitumia za ndani ya nchi Mimi natumia automatic na manual lakini zote ni imported.
Nitakupa mawasiliano ya watengenezaji na wauzaji wa ndani na nje ya nchi kwa PM mtajadiliana utaamua mwenyewe kulingana na mahitaji yako....
Haya makampuni ya nje yenye mawakala hapa nchini mostly wanagharamia wao wenyewe usafirishaji na mengineyo mpaka mzigo ukufikie.
 
OK karibu pm
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom