Naomba msaada: Mozilla imenigomea.

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
294
Points
180

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 294 180
Kwa siku ya pili leo nimekuwa nikipata tatizo ya kuingia kwenye mtandao kwa kutumia Mozilla Firefox. Ninaweza kupata homepage ili nikijabu kutoka hapo kwenda kwenye mitandao mingine inashindikana.

Kwa mfano nimetaka kuingia kwenye www.google.com lakini nimeishia kupewa vitu kama hivi vinavyoonekana hapa

http://uk.search.yahoo.com/search?ei=UTF-8&fr=ytff-msgr&p=www.google.com

Nimejaribu kutumia internet explore ambayo niliachana nayo siku nyingi, inakubali lakini nikijaribu kuifunga inakataa. Napata kitu kama hiki hapa:

res://ieframe.dll/acr_depnx_error.htm#,res://ieframe.dll/acr_depnx_error.htm#yahoo.com,http://uk.yahoo.com/

Nimeombeni msaada, nimekwama.
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,419
Likes
75
Points
145

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,419 75 145
Hujataja OS, lakini na assume unatumia Win XP, vista, au windows 7.
Jaribu hili ukiwa kwenye command prompt (dos)
Type command hii kwenye mabano bila quotes kisha press enter baada yakuwa ume-launch dos.

"cd\"
press enter

Kisha ukiwa kwenye C:\ prompt type lifuatalo

"ipconfig /flushdns"

Funga Dos, kisha jaribu browsers zako.

Zisipofanyakazi...

Badala ya kuhangaika kutibu, kama bado unaweza kudownload kutoka kwenye computer hiyo hiyo au nyingine yoyote, (Pia unaweza ku-download google Chrome kujaribisha kama utaweza kuingia mtandaoni bila kikwazo kilekile). Basi download Revo Uninstaller. Funga hizo browser zako zote, kisha tumia Revo kuziondoa zilizogoma. Tumia option ya mwisho ili kuondoa traces zote. Pia kwenye options za registry entries, select all kisha bonyeza delete.
Kama kuna bookmarks umetunza, unaweza ku-save kwenye folder pembeni kabla ya deletion ili kuzitumia utakapo re-install browsers zako. Hii inaonekana ni njia ndefu lakini kwangu mimi badala ya kupoteza muda naiona ya mkato maana unakuwa umetibu jumlajumla.
 
Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
294
Points
180

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 294 180
Hujataja OS, lakini na assume unatumia Win XP, vista, au windows 7.
Jaribu hili ukiwa kwenye command prompt (dos)
Type command hii kwenye mabano bila quotes kisha press enter baada yakuwa ume-launch dos.

"cd\"
press enter

Kisha ukiwa kwenye C:\ prompt type lifuatalo

"ipconfig /flushdns"

Funga Dos, kisha jaribu browsers zako.

Zisipofanyakazi...
Ahsante sana Steve.

Hii niliijaribu jana ikakataa na kutoa error msg kuwa "the directory does not exit). Nimerudia tena asubuhi imekubali. Hata hivyo hiyo jana Mozilla ilianza tena kufanya kazi ila kwa speed ya kuunga unga. Na hili tatizo linatokea mara nyingi baada ya umeme kukatika na unaporudi ndio Mozilla inaanza vituko. Ngoja niendelee kuiguza tuone.

Badala ya kuhangaika kutibu, kama bado unaweza kudownload kutoka kwenye computer hiyo hiyo au nyingine yoyote, (Pia unaweza ku-download google Chrome kujaribisha kama utaweza kuingia mtandaoni bila kikwazo kilekile). Basi download Revo Uninstaller. Funga hizo browser zako zote, kisha tumia Revo kuziondoa zilizogoma. Tumia option ya mwisho ili kuondoa traces zote. Pia kwenye options za registry entries, select all kisha bonyeza delete.
Kama kuna bookmarks umetunza, unaweza ku-save kwenye folder pembeni kabla ya deletion ili kuzitumia utakapo re-install browsers zako. Hii inaonekana ni njia ndefu lakini kwangu mimi badala ya kupoteza muda naiona ya mkato maana unakuwa umetibu jumlajumla.
Nitajaribu kama itaendelea kusumbua.
 
Forum statistics

Threads 1,204,152
Members 457,147
Posts 28,143,294