1. Kwanini unataka kujiunga na Jeshi la Polisi?...
Jibu!..Napenda tu kuwakata mitama wapinzani na kuwavunja miguu itapobidi.
2. Rushwa ni nini?,
Jibu!..Ni sabuni ya roho na hela ya kiwi.......kila Polisi ruksa kuchukua chambi chambi.
Kijana umepata kazi hongera..