Naomba msaada laptop yangu haitaki kuchaji betri

Naomba msaada laptop yangu haitaki kuchaji betri

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
Habari wana jamvi wenzangu....naomba msaada .computer yangu haichaji baterry kwa sasa inaandika not charging cjajua tatizo n nini... naomba msaada wenu...n Samsung os window 8
 
betri hiyo mkuu...inaonekana ndo byebye labda ueleze ilianzaje mpaka imekuwa hivyo...ila mara nyingi hizo ndo dalili za kufa betri!!!
 
Jiaribu kutafta mtu mwnye pc ka yako kisha angalia kama betri yake itafanya kazi kwako. Ikifanya ujue betri yako ndio kuch nehi..ikigoma basi tatizo litakuwa kwnye port au circuit ya kupeleka umeme kwny battery
 
Tatizo lingine yaweza kua ni adapter ya charge jaribu kutumia adapter nyingine
 
Back
Top Bottom