niliwahi tafuta kkoo nimekosa, ila generic gamepad yoyote inakubali kwa android.
sijajaribu gamepad ya pc na usb adapter ila nafkiri inawezekana pia kama unapenda kumod vitu unaweza ukamod pad ya pc ukaiekea stand ukatumia kwenye simu.
ila dis advantage ya pad ya usb ni kwamba huwezi kucharge simu huku unacheza game, pad ya bluetooth ndio inakuwa nzuri
yap ikiwezekana utafute piaNimekusoma Fresh.... Mpaka sasa nimewaza kitu mkuuu.. Modified ma own.... Kama nikachukua zile pad tunazo tumia kwa PS then nikawa na OTG drive.... Nikachomeka otg kwa simu then pale kwa otg tushazoea tunaweka flash sasa mm nikachomeka ile pad... Inawezekana kufanya kazi mkuu... Nafikiria kufanya hivooo