Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 138
wadau ninaomba msaada, nataka kutumia adobe photoshop cs3 kupunguza size ya digital photo ( passport) kuwa na 132width, 185height na weight ya 4kb. nimefaulu kupunguza width na height nakwama kupunguza weight kuwa 4kb maana automatically napata weight kuwa 24kb nifanyeje

4 Kb ni size sio weight .
Fanya hivi fungua image yako. kisha save copy alafu kwenye file menu chagua ku save as web device( Hii ni phostoshop cs4 na 5 nadhani hata kwenye CS3 ipo ) . Huko kwenye save for web device utajua namna ya kucheza nao
Au soma hapa yahoo answers
NB
Kwa nini bado mnatumia cs3 maana hata XP inaspport cs4 vizuri tu . tafute CS4 au CS.5 au CS5.5
Unai-save kama nini? tumia program ya Coreldraw ndo rahisi zaidi kupunguza ukubwa wa image.
thanks zing for advice na maelekezo mazuri nimefanikiwa asante sana
Imeleta 4kb?????