SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Dec 2, 2013 #1 Nilijaribu kuweka Bluestacks lakini inahitaji 2GB RAM ambayo mashine yangu haina. Sasa naomba kujua kwamba ukishaweka hiyo bluestacks ni nini kingine kinachohitajika au ni kuanza kuweka applications.
Nilijaribu kuweka Bluestacks lakini inahitaji 2GB RAM ambayo mashine yangu haina. Sasa naomba kujua kwamba ukishaweka hiyo bluestacks ni nini kingine kinachohitajika au ni kuanza kuweka applications.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 Dec 2, 2013 #2 unaeka tu apps. alternative tumia youwave haina limit ya 2gb
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Dec 2, 2013 #3 chief-mkwawa said: unaeka tu apps. alternative tumia youwave haina limit ya 2gb Click to expand... Sema mkuu Youwave ina limitations, kuna apps (eg. Instagram) haiwezi kukubali kurun kuna ka error message flani kanatokea!
chief-mkwawa said: unaeka tu apps. alternative tumia youwave haina limit ya 2gb Click to expand... Sema mkuu Youwave ina limitations, kuna apps (eg. Instagram) haiwezi kukubali kurun kuna ka error message flani kanatokea!
SuperImpressor JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 1,505 Reaction score 649 Dec 2, 2013 Thread starter #4 Asanteni wakuu ngoja nisake hiyo youwave tuone kama bundle langu la mb litatosha kuishusha