Naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu meno ya bandia

sisi ni ndugu

Senior Member
Sep 4, 2018
121
135
Habari ndugu zangu!
Nimesumbuliwa na meno muda mrefu hadi imefikia hatua nimeshachomoa meno manne (4). Kwa sasa nahitaji kuweka meno ya bandia. Je, yapi madhara yake? Wakati wa kula inabidi niyatoe?

Msaada naomba kwa anaejua au aliyepitia tatizo kama langu.
 
Hayana tatizo mi natumia la mbele since 2007 ,ila unapotaka kula unalitoa,na siku ya kwanza kuliweka utaona mdomo nzito na linachubua fizi ila baada ya muda unakua fresh na hutajua kama umevaa jino bandia
 
kwaiyo kila ukitaka kula shart ulitoe navipi kama ukisahau
 
Mimi huwa nalitoa muda wa kula na usipolitoa chakula kinangia upande wa ndani hasa kama ni la mbele basi inakuwa kero. Sio lazima ulitoe kuepuka kero ya chakula kujaa kati ya plastic na ufizi ,na unalitoa mida ya kupiga mswaki unalibrush
Majan
 
Siku hizi bongoland tuna watalaam wazuri wa meno.
Hayo juu manne yote bandia, nakula nayo nakula muwa nyama ya ng'ombe, kukuchoma sitoi, ya chini ni original hayaana tatizo. Ukikutana na mimi huwezi kujua hata nikipanua mdomo.

Usiku mara nyingine natoa ili kuruhusu damu izunguke vizuri kwenye gums(fizi)
lakini mara nyingi sitoi ila Dr alinishauri niwe natoa. Nina miaka 4.5 ninayo.

Inatakiwa usafi wakati wa kupiga mswaki mara nyingine inabidi uyavue uyapige brash kwa kuyashika.

ANGALIZO: Kwasababu mkono wa kushoto tunatumia chooni ukitoka chooni usifanye usafi huu wa meno niliokueleza hapa, utapata typhoid. Watu wengi hawanawi vizuri wakitoka chooni. Bora ufanye kabla fasta tu. Ikitokea haina madhara ila ni vizuri kuwa msafi

Haya matatizo ya meno ni ugonjwa kama magonjwa mengine . Kwa kitu bora usikimbie gharama.

niliwekewa pale Kitengo cha meno muhimbilim Ukiingia tu kulia
2018-10-10%2017.37.37.jpeg
 
Ni ya mbele au yale ya mwisho mwisho.
Sibiri dada sky eclat aje
Habari ndugu zangu!!! Nimesumbuliwa na meno mda mrefu hadi imefikia hatua nimeshachomoa 4, kwa sasa nahitaji kuweka meno ya bandia, Je yapi madhara yake? Wakati wa kula inabidi niyatoe?

Msaaada naomba kwa anaejua au aliyepitia tatizo kama langu
 
Umenikumbusha kuna jamaa nilimkata kofi kumbe kaweka jino hilo la bandia akalichomoa akaenda kushtaki nimempia nikamng'oa jino eti kidogo nifungwe sema tu ni vile najulikana pale kituoni ingekula kwangu
 
mkuu gharama yake ikoje maana nami nina tatizo hilo nahitaji kama matatu hivi

Kuna meno ya bandia ya aina tatu:
Yapo ya kuvaa na kuvua
Yapo ya bridge
Yapo yanayoitwa implantation

Gharama zake mara nyingi hospitali za serikali huwa ni za bei nafuu zaidi, ila haya ya implantation mara nyingi yanatengenezwa Aga Khan kwa bei kubwa tofauti na hayo ya aina nyingine
.
 
Habari ndugu zangu!!! Nimesumbuliwa na meno mda mrefu hadi imefikia hatua nimeshachomoa 4, kwa sasa nahitaji kuweka meno ya bandia, Je yapi madhara yake? Wakati wa kula inabidi niyatoe?

Msaaada naomba kwa anaejua au aliyepitia tatizo kama langu
Manne mengi mkuu haushtuki tu kuwa kuna tatizo hapo??!?
Kula utakuwa unayachomoa ndio, ukimaliza kula unapachika tena maisha yanaendelea
 
Back
Top Bottom