Naomba msaada kutoka kwa watu waliowahi kufanya usahili TPB

Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive
Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi

Shukrani sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali yanabadilika kila siku mkuu tatizo wengi huwa na kigugumizi katika lugha ya kiingereza huamini tu
 
Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive
Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi

Shukrani sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kazi ni ya sales, basi lazima maswali yatabase humo humo kwenye sales.
Lazima ujue what is selling, Selling processes lazima uzijue mfano, Prospecting, Lead qualifying, Sales Presentation, Handling objections, closing sales, After sales services nk.
Nenda ugoogle document ya sales and sales force management usome. Soma vizuri mambo ya sales uyajue.
Pia google kuhusu bank ya Posta uijue. Jua kuwa benki hii imeunganishwa na bank nyingine mbili ambazo ni Benki ya Wanawake na Benki ya Twiga.
Jua madhumuni ya bank ya Posta, ambayo ya kwanza ni savings mobilization. Kazi ya benki ya posta ni kuiwezesha jamii kusevu pesa kwa kutumia savings accounts. Nyingine ni kutoa mikopo.
Jua kuwa wewe kazi yako itakuwa ni kuhamasisha watu waweke pesa na pia waje kuchukua mikopo.
 
Nashukuru mkuu kwa majibu mazuri kwakua wamesema itaanza saa nne ngoja ni gugo fasta fasta
 
Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive
Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi

Shukrani sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Google kuhusu hiyo bank uifahamu angalao mision yake na vision yake. Angalia product wanazozitoa uzijue kiasi fulani. Kuna maswali kama umeifahamuje TPB, kwa nini unaitaka hii kazi, strength na weakness zako, umewahi kufanya nini kikaleta mafanikio, umewahi kukutana na changamoto gani na ukaisolve vipi, where do you see yourself in five years. Haya maswali ni common most banks
 
Hivi sales executive si sawa sawa tu na DSA(direct sales agency)....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom