TPB INTERVIEW

Mwanambugulu

JF-Expert Member
May 26, 2017
667
814
Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive
Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi

Shukrani sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU umeitwa wapi?maana kuna mshikaji wangu nayeye kapata msg leo kaitwa kwenye interview Tabora, veta, interview tarehe 20
 
Wakuu habari zenu ?nimetumiwa sms kuna interview ya bank ya posta position ni sales executive
Vipi kwa wazoefu aisee wa hizi kazi a vipi kama nikipata mjuzi aliewahi kufanya interview akanipa dondoooo za maswali na utaratibu mzima wa kufanya interview tpb pia maswali kuhusu hiyo nafasi

Shukrani sana wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda tu appitude test mtakuwa 400 na mtasaishwa masaa 5 wote ukibahatika kuitwa utaitwa ni bahati nasibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom