Rastafarian 25
Member
- Dec 25, 2020
- 28
- 50
Wakuu kwema!? Ni Muda mrefu sana tangu huyu jamaa alipoandika uzi wake kuhusu hali anayopotia, simkumbuki jina wala sijaweza kupata uzi wake ila nilikja na habari njema kwaajili yake na namna ya kumsaidia kuvuka hilo jambo.
Kwa maelezo yake jamaa alisema yeye ana mchumba na hata ukimuangalia unaweza usijue kama ni upinde, ila anasema ni tatizo linalo mvaa tokea ndani sababu kwa nje anaonekana pw na hata wanafamilia, jamii na kila mahali hakuna ajuaye isipokua hao anaokutana nao tu ndio wanajua kua ni upinde......
Sasa nilitaka kupata ule uzi ama jamaa mwenyewe ili tuweze kusaidizana avuke salama kipengele chake maana sawa ipo ya kumsaidia kubalance hormone zake, nawasilisha.