Naomba Msaada kupata nyumba ya kupanga

Abby Senior

Senior Member
Feb 14, 2015
154
60
Habari zenu wadau, mimi nipo Tanga mjini natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba 3 au 4, naomba Msaada wenu wadau wa JF kama Kuna mtu anaweza kujua, Natanguliza shukrani.
 
Kama ni dalali akikupa simu mpotezee, huku jf utapata nyumba bila dalali.
 
Back
Top Bottom