Naomba msaada kuhusu profile za Whatsapp

Naomba msaada kuhusu profile za Whatsapp

Kontelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
571
Reaction score
161
Habari wakuu,

Ninapotumia whatsapp nikifungua sehem ya chat ili kuona profile picture za contact za watu wengi system inakata na inarudi sehem ya kutuma message kwa uloanza kuchat nao.

Nimejaribu kuunstall mara mbili lkn tatizo bado pale pale. Mwenye uelewa na haya mambo anielekeze.
mwl RCT, CHIEF MKWAWA
 
Utakuwa una dhambi nyingi punguza Maovu... kila kitu kitakuwa sawa
 
hyo ni system error.. mm yangu ilikua ina corrupt chat history inabakup chat za kitambo sana kila baada mda flan nimejaribu kurestore simu na kuinstall upya ila sijabakup chat zozote nimeanza upya nina km wik3 sasa haisumbui wakat haikua inakaa mda mrefu bila kuzingua.. ktk kuinstall tafuta fresh updated apk ktk app store..
 
Ukifungua usiclick/guse picha, kama umesave kwa jina gusa jina au number kisha gusa picha hapo ndio itafunguka
 
Habari wakuu,

Nnapotumia whatsapp nikifungua sehem ya chat ili kuona profile picture za contact za watu wengi system inakata na inarudi sehem ya kutuma message kwa uloanza kuchat nao. Nimejaribu kuunstall mara mbili lkn tatizo bado pale pale. Mwenye uelewa na haya mambo anielekeze.
mwl RCT, CHIEF MKWAWA
Unatumia simu gani
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimepata ufumbuzi wa tatizo. Ni setting ndio nilizifunga. Kwenye background apps badala ya kuweka standard limit nikaweka no background apps
 
Back
Top Bottom