Phinenicke
Member
- Nov 21, 2014
- 15
- 3
Habari wana jf. naomba mnisaidie nina laptop yangu nikiweka wimbo au movie haitoi sauti kabisa, ila nikiweka earphone sauti inasikika. nifanyeje ili sauti itoke? na ilikuwa inatoa sauti tatizo limeanza muda c mrefu. Ahsanteni