monte caro
Member
- May 9, 2014
- 10
- 9
Nina tatizo hapa kuhusu kipimo cha HIV
Kilionesha Line katika mstari wa C ndani ya Dk 15 za mwanzo ila baada ya dk 25 kuna mistari partial 2 ilijitokeka kwa mbali.. Je nini tatizo kipimo kiko active hakija expire, huyu mtu ni Negative au Positive

hakulaliki huko eeghh?? Sina uhakika ila nadhani hii ni "Non-reactive" subiri wajuvi waje. Meza dawa za usingizi ulale