M mwanasagamba Member Joined Aug 18, 2016 Posts 14 Reaction score 5 Nov 23, 2016 #1 Wanajamii naomba msaada, Simu yangu iPhone 4 niliagiziwa na kaka yangu kutoka Japan shida yake ukiweka line haisomi mtandao inaomba pin code kwa yeyote anae faham anisaidie nitachangia gharama. Ahsante
Wanajamii naomba msaada, Simu yangu iPhone 4 niliagiziwa na kaka yangu kutoka Japan shida yake ukiweka line haisomi mtandao inaomba pin code kwa yeyote anae faham anisaidie nitachangia gharama. Ahsante
TheGreatASA JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 302 Reaction score 393 Nov 23, 2016 #2 Unatakiwa kujua hiyo simu ni model gani!!!! inawezekana ni toleo la Japan huku haiwezi kufanya kazi. Kwa hiyo weka model ya simu ili usaidiwe.
Unatakiwa kujua hiyo simu ni model gani!!!! inawezekana ni toleo la Japan huku haiwezi kufanya kazi. Kwa hiyo weka model ya simu ili usaidiwe.