kwa nini usiende kwa mawakala wa dealer wa sungung kwa uwakika zaidi tena unaweza uka contact now ata fb kwanzaSalaam wakuu wenye hili jukwaa.
Samsung 7 pro imecrack screen nimeingia kwenye mafundi screen replacement wanasema bei ghali sana, nikaingia online kutafuta touch sreen only,
Nimeipata kwa bei cheap, sasa nakuja kwenu wataalam mniambia kama inawezekana kureplace touch screen peke yake? bila kuathiri display? ikiwa ni namna ya kupunguza gharama?
Asanteni.
Sawa inawezekana mm niliweka touch kwa 30000 samsung mega..21000
Laki 2 na kumi au elfu ishirini na moja?21000
Mziki upo kwenye kuivua hiyo digitizer touch screen!!Kuna mafundi ukifika wanakuambia kuwa zinakuja complete hata kama ni touch gu imecrack