kama nilivokwambia awali sio amateurist game hii:smile-big:
Kwanza kabisa lazima uwe na Dish lilo uelekeo wa Azam kama unataka kuzikamata hizi channel mbili za Beinsports na hii channel ya wakubwa 18+ ya Hustler HD
Ukisha kuwa na Dish uelekeo huo scan channel zako na utaona channel zenye initial ya neno "Feed"
Channel hizo ukijaribu kufungua zitakwambia Scramble channel
Ilikuzifungua itakubidi kuweka BISS keys husika katika hiyo Skybox yako
Hivo fata hatua hizi
1.Fungua Notepad katika computer yako kisha kisha save blank document as All files na usi save as .txt file na jina rename kuwa softcam.key kama hautoweza download softcam.key kutoka
HAPA na kisha Unzip
Hakikisha una unzip hili file
2.Kisha fungua file lako la softcam.key kwwa kutumia Notepad++[Google udownload kama hauna]
Uta right click hilo file kisha utachagua edit with Notepad++
Kisha jaza details as shown below
3.Save changes kisha litie kwenye flash ambayo haina kitu kwa usalama na ulichomeke kwenye receiver yako kwenye USB port
4.Navigate kwenda Network settings===>Camd setup===>manage configs afu softcam.key na ufute contents za keys utakazo kuta
5.Baada ya hapo nenda USB upgrade kisha
Upgrade mode weka
misc files
Kisha shuka chini kisha chagua
select and upgrade na kisha trace file lako la softcam.key na ulichague
hatua hii ni muhimu sana yakupasa kuwa makini
6.Itakwambia successfull baada ya ku load file kwa ufasaha na baada ya hapo exit ukaangalie channel