Naomba msaada kuhusu bachelor ya economics

Naomba msaada kuhusu bachelor ya economics

christian Ben

Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
11
Reaction score
5
Ninaenda UDOM BA in economics and statistics nusaidieni hii coz iko poa and... niexpect carriers zipi
 
mkuu kama hujui carriers za hii course usingeichagua ndugu yangu..........utaishia kutembea na bahasha ...nchi yetu hii ni ya kusadikika.....mtu anakushauri ujiajiri ili hali yeye ameajiriwa ...ungesoma BEEM ya mzumbe ingekupa mwongozo mzuri wa kujiajiri na kuajiriwa...

ni mtazamo tu usijenge chuki na mimi hata na Majani...
 
Ninaenda UDOM BA in economics and statistics nusaidieni hii coz iko poa and... niexpect carriers zipi
Dah unaapply kitu ambacho haukijui?.Kiukweli ajira zake siyo nyepesi kuzipata kama wewe siyo mtoto wa kigogo.
 
Hiyo sio course. Ni Degree Program. Anyway... ungeomba ushauri huu kabla ya kufanya application ingekuwa poa sana....kipindi hiki utavunjika moyo kwa ushauri wa watu ukaishia kujilaumu.....ila kama una mpango wa kubadilisha basi ushauri ulio/unao/utakaopewa unaweza kuutumia.
 
Kama maisha yao kama ya kwetu afanye transfer,kwa mfano kuna bachelor ya education in commerce ni nzuri sana coz masomo yake ya kufundishia yapo poa na ajira zake cyo ngumu.Unachukua uchumi na accounting au maths kama masomo ya kufundishia
 
Hongera sana kwa kupata hiyo course . Soma kwa bidii inalipa sana! Usisikilize maneno ya watu utapotea.
 
Kuna somo linaitwa econometrics mwaka wa pili, ndo utajua kweli math is infinitive subject
 
Back
Top Bottom