Naomba msaada kuhusiana na Uzazi

chankele kigoma

Senior Member
Jan 12, 2017
199
118
Ni miaka minne (4 yrs) toka nijifungue mtoto wangu wa kwanza, nimekuwa nikifanyajitihada za kupata mtoto mwingine bila mafanikio, hivo basi naombeni msaada kwa wale wenye weledi juu ya hili.
Nawasilisha kwenu wadau
 
Je ulikuwa unatumia njia gan ya uzaz wa mpango maana nyingne zina madhara
 
Ni miaka minne (4 yrs) toka nijifungue mtoto wangu wa kwanza, nimekuwa nikifanyajitihada za kupata mtoto mwingine bila mafanikio, hivo basi naombeni msaada kwa wale wenye weledi juu ya hili.
Nawasilisha kwenu wadau
Pole sana sana.... Kwa kipindi chote hicho.... Umetumia aina gani ya/za njia za kupanga uzazi na je umetumia kwa muda gani mpaka ulipokuja kuanza kutafuta mtoto wa pili?
 
Ni miaka minne (4 yrs) toka nijifungue mtoto wangu wa kwanza, nimekuwa nikifanyajitihada za kupata mtoto mwingine bila mafanikio, hivo basi naombeni msaada kwa wale wenye weledi juu ya hili.
Nawasilisha kwenu wadau
Watoto ni baraka kutoka kwa Mungu, mtangulize Mungu kwa kila jambo.

Unaweza kupata mapacha wanne kwa mpigo ukaanza kulalamika matunzo.

Mungu ni mwema, sokution yako ipo kwa Mungu na siyo JF.
Nenda hospitali.... Kutakakuwa kuna shida mahali....!!! Ila usiwaze sana... Ikiwezekana na mwende pamoja hospitali na mwenzi wako....!!!!
 
Nilisha wahi kwenda nikaambiwa ninakiuvimbe kilichotunga maji lakin wakasema naweza kupata lakin mpaka leo sijapata
 
Mtoto mmoja anakutosha sana. Mwenyezi Mungu pamoja na utajiri wate alio nao ana mtoto mmoja tu, Yesu Kristo... Wewe na umasikini wote ulio nao bado unataka uwe na watoto wangapi? Dunia ishajaa hii...
 
Hahaha ila umesema ukweli
 
Back
Top Bottom