Wakuu habari zenu. Nahitaji msaada katika javascript. Ndio kwanza beginner but nina idea kidogo. Najua css na html.
Nimetengeza page with fields.
Sasa kuna sehemu nimeweka ivi:
Sasa mimi nnachotaka, kwa mfano user akichagua Blah blah katika option ua mwanzo, kisha katika option ya pili akichagua 123 basi itoe majibu lets say "umepata".
Vipi ntaweza kutumia javascript kuiambia browser kuwa kama kachagua blah blah na 123 jibu liwe umepata?
Nawasilisha
Nimetengeza page with fields.
Sasa kuna sehemu nimeweka ivi:
Code:
<select>
<option id="mfano1">blah blah</option>
<option id="mfano2"> blaaaah </option>
</select>
<select>
<option id="mfano3">123</option>
<option id="mfano4"> 123456 </option>