Naomba msaada wa haraka kwa yeyote atakayemuona kijana wangu anayeitwa Eric Filipi Mzee.
Huyu ni mtoto wa mjomba wangu na nimekuwa nikiishi naye kwa kipindi cha miaka miwili sasa.
Tarehe 18/2/2016 nikiwa kazini alipita mtu nyumbani na kumrubuni na kuondoka naye. Tumejitahidi pamoja na wazazi wake kumtafuta lakini hatujafanikiwa.
Tafadhali sana tunaomba atakayemuona apige simu namba 0715 284951, 0754 284951, 0719 308383.
Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwake.
Picha ya Eric