Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 138
wanajamii nina tatizo hasa pale ninapochange ip address pamoja na port kwenye browser (mozilla) na kutumia zile za marekani mashine inakuwa na internet access lakini haifungui web page na inanipa message " The proxy server is refusing connections" nashindwa kuelewa kama ni windows related problem au browser related problem. natumia window 7 ultimate na browser ni yahoo_firefox_8.0_setup_us. wadau naomba msaada nifanyeje?

ni hii hapa , IP: 174.129.210.43 PORT: 27977 from e2themiza nataka kupata hiyo licence ya nod32 smart security
Yeah inafanya kazi nimeitest now still working 😛oaSasa mbona IP yeyewe hata uki ping inaoneknaa haipo hewani. . Hiyo proxy server inafanya kazi kweli
nifanyeje ili niweze fanikiwa katika hili? mashine inakuwa na internet acess lakini haifungui web page pls helpYeah inafanya kazi nimeitest now still working 😛oa
usipoweka proxy ip's page znafunguka? Kama znafunguka piga snap ya jnc unavyoiset iy ip na leta hapa tuonenifanyeje ili niweze fanikiwa katika hili? mashine inakuwa na internet acess lakini haifungui web page pls help
nisipoweka ip haifunguki. na attachment hizi ndizo zinaonyesha jinsi navyoiset ip kwenye mozila firefox na nikifungua web page inaleta message hiyo hapo kwenye attachment ya pili. waiting to hearing from you sir.usipoweka proxy ip's page znafunguka? Kama znafunguka piga snap ya jnc unavyoiset iy ip na leta hapa tuone
nisipoweka ip haifunguki. na attachment hizi ndizo zinaonyesha jinsi navyoiset ip kwenye mozila firefox na nikifungua web page inaleta message hiyo hapo kwenye attachment ya pili. waiting to hearing from you sir.
View attachment 47699View attachment 47698