naomba msaada katika kuchange ip address na port

Kalunguine

JF-Expert Member
Jul 27, 2010
2,543
134
wanajamii nina tatizo hasa pale ninapochange ip address pamoja na port kwenye browser (mozilla) na kutumia zile za marekani mashine inakuwa na internet access lakini haifungui web page na inanipa message " The proxy server is refusing connections" nashindwa kuelewa kama ni windows related problem au browser related problem. natumia window 7 ultimate na browser ni yahoo_firefox_8.0_setup_us. wadau naomba msaada nifanyeje?
 
Fanya same procedure yaani tools/option then advanced then network then proxy halafu itatokea new tab we click no proxy then ur done
 
wanajamii nina tatizo hasa pale ninapochange ip address pamoja na port kwenye browser (mozilla) na kutumia zile za marekani mashine inakuwa na internet access lakini haifungui web page na inanipa message " The proxy server is refusing connections" nashindwa kuelewa kama ni windows related problem au browser related problem. natumia window 7 ultimate na browser ni yahoo_firefox_8.0_setup_us. wadau naomba msaada nifanyeje?

Unaonaje ukiweka hapa details za ip na port unazotaa utumia ili tujue na tutest bila chenga. . Au sio public proxy?
 
ni hii hapa , IP: 174.129.210.43 PORT: 27977 from e2themiza nataka kupata hiyo licence ya nod32 smart security
 
Sasa mbona IP yeyewe hata uki ping inaoneknaa haipo hewani. . Hiyo proxy server inafanya kazi kweli
 
nifanyeje ili niweze fanikiwa katika hili? mashine inakuwa na internet acess lakini haifungui web page pls help
usipoweka proxy ip's page znafunguka? Kama znafunguka piga snap ya jnc unavyoiset iy ip na leta hapa tuone
 
Back
Top Bottom