Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
Nimejaribu mala kazaa kuweka namba katika call barring paka ikablock password
Toka Burton sat shop.
Toka Burton sat shop.
Ipo enter pin ila sidhani kama ndio hivyo unavyodai.Hakuna pin code za blackberry kwenye call barring.
Call barring ina access mtandao wako wa simu unaotumia, mfano tigo ni pin code yake ni 0000 kama sijakoseha,kama ukuwahi kubadilisha ulitakiwa uweke 0000 Airtel ni 1234, ili kui-unlock nadhani unatakiwa kuingiza PUK namba za Sim Card yako.
Poa! Takucheck asubuhi kaka!sijakuelewa vizuri ningependa kukusaidia km tatizo lako bado unaweza kunipigia 0717009369