GGIRRIMATA
Member
- Sep 27, 2014
- 21
- 1
Ninajogoo ila kila akipanda jike huyapasua kwa (paga) zake kiasi ambacho huwapelejea kuku jike hadi kukimbia kwa maumivu ya vidonda nini kifanyike juu ya huyu jogoo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app