Kwa wanaofahamu,
Naomba kufahamu namna ya kufungua zile channel zinazo kuwa encrypted.
Kwa wale waliowahi kutumia hizo DECODA za Star Times wanaifahamu ile alama ya dolla
($) ambayo huwa inatokea kwenye channel zisizoonesha hata kama muda wa kulipia bado.
Hii hutokea kwa baadhi ya channel.(kama 5 hivi)
Pia naomba kuongeza swali jingine,
Hivi kunauwezekano wa kuona channel nyingine kama ITV kwenye hizo DECODA?
Asanteni sana.