Kuna PC zingine driver ya Bluetooth inakua ilimiss kua installed so itakua ni ngum sana kushare files kupitia bluetooth,Wakuu salaam
Naomba wana IT mnipe procedure za kuactivate bluetooth kwenye PC kwa sababu nakosa namna ya kuamisha file kutoka kwenye sim kwenda kwenye PC baada ya USB kugoma kuconnect.
nawasilisha
bluetooth si utakesha? maana ipo slow vibaya mno.
hio pc yako haina wifi? tumia wifi kuhamisha mafile baina ya computer na simu.
zipo apps nyingi za kufanya hivyo, mfano dukto, xender, shareit etc unachotakiwa ni kuhakikisha hio app ipo kwenye simu na pc kisha tengeneza hotspot na simu halafu connect hio wifi na pc halafu tuma mafile.
namimi nasubiri maelezo hapaNaomba maelekezo jinsi ya kuconnect pc na simu kushare files kwa kutumia wifi/hotsport mkuu.