R RIKAB Member Joined Aug 13, 2012 Posts 47 Reaction score 2 Aug 20, 2014 #1 Najaribu kutuma email lakini cha kushangaza haziwi delivered kwa mhusika bali zinanirudia kwenye email yangu.. msaada tafadhari
Najaribu kutuma email lakini cha kushangaza haziwi delivered kwa mhusika bali zinanirudia kwenye email yangu.. msaada tafadhari
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,595 Reaction score 22,334 Aug 21, 2014 #2 RIKAB said: Najaribu kutuma email lakini cha kushanganza haziwi delivery kwa mhusika bali zinanirudia kwenye email yangu.. msaada plz Click to expand... Hakikia email ya mtu unayemtumia Huwa ni kawaida email kukurudiwa iwapo kuna kosa katika email husika. Soma maelezo yanayojitokeza kwenye email iliyo kurudia
RIKAB said: Najaribu kutuma email lakini cha kushanganza haziwi delivery kwa mhusika bali zinanirudia kwenye email yangu.. msaada plz Click to expand... Hakikia email ya mtu unayemtumia Huwa ni kawaida email kukurudiwa iwapo kuna kosa katika email husika. Soma maelezo yanayojitokeza kwenye email iliyo kurudia