Naomba msaada jinsi ya kujitoa Facebook

Naomba msaada jinsi ya kujitoa Facebook

Google haya maneno
Permanent delete facebook account watakuletea link ukienda huko utaifuta
 
Nenda kwenye 'help' af andika maneno aliyosema mdau hapo.....that's how I deleted mine
 
nenda setting utapata sehem imeandikwa general ingia hapo shuka hadi chini mwisho utakuta deactivate ingia hapo
 
Ila ungetuambia nini kimekusibu hadi kujitoa ingekuwa vizuri zaidi
 
Mbona mie nimejitoa mara kibao na kufuta za wengine
 
nenda setting>> deactivate your account> baada ya wiki 2 inakuwa deleted.....ndani ya wiki 2 usingie fb kwa account hiyo
 
at last... safi kijana kwa uamuzi.wako mgumu.
 
hhHhHHhahahahah na mi mnielekeze kutoka jamii hahahahha.....inafika kipindi akili inakua kubwa gafulaa
 
Facebook siyo mbaya tatizo unaitumiaje? Simshauri mtu anayejitambuwa kujitoa Facebook bali unachopaswa kufanya usicoment post za marafiki wajingawajinga na wala usi-update status za kiboyaboya.

Mimi Baba yangu tuko friends Facebook na nashukuru hii imenisaidia kutopost ujinga Facebook.
 
Nielewavyo ni kwamba sample zimepelekwa nje kwa uchunguzi, ili tujue ni nini kiliwaua hao dolphins. Tusubiri majibu ya uchunguzi kabla ya kuwacharukia Wamarekani.

Utalii ni uti wa mgongo wa uchumi wa Zanzibar. Kitu cho chote kinachoharibu ufukweni Zanzibar ni tishio kwa usalama wao (na wetu).

Nadhani watu independent kama Green Peace nao wangealikwa kuchunguza kinachendelea. Waziri Mwandosya ndiye anahusika, na naamini ataweza kushughulikia kikamilifu.

Augustine Moshi

Una sababu yoyote ya msingi kujitoa au ulikuwa unaimis use sasa vidumu vimepangana uko Facebook imegeuka msala kwako?

Face moja ya faida ninazopata niko friend na Bill gates huwa anatupa zawadi nzuri za vitabu na kwa vijana wa Africa niko one page na Uhuru Kenyatta ni full maakili.

Ndio maana najiuliza nyinyi mpo Facebook? Au ndio mnaolike page za kina Wema Sepetu na Diamond?
 
kumbee mi nlikia sijui nikaacha tu huu mwaka siingii
ngoja nijitoe kabisa

Una sababu yoyote ya msingi kujitoa au ulikuwa unaimis use sasa vidumu vimepangana uko Facebook imegeuka msala kwako?

Facebook moja ya faida ninazopata niko friend na Bill gates huwa anatupa zawadi nzuri za vitabu na kwa vijana wa Africa niko one page na Uhuru Kenyatta ni full maakili.

Ndio maana najiuliza nyinyi mpo Facebook? Au ndio mnaolike page za kina Wema Sepetu na Diamond?
 
Una sababu yoyote ya msingi kujitoa au ulikuwa unaimis use sasa vidumu vimepangana uko Facebook imegeuka msala kwako?

Facebook moja ya faida ninazopata niko friend na Bill gates huwa anatupa zawadi nzuri za vitabu na kwa vijana wa Africa niko one page na Uhuru Kenyatta ni full maakili.

Ndio maana najiuliza nyinyi mpo Facebook? Au ndio mnaolike page za kina Wema Sepetu na Diamond?

Hadi mtu akaamua kujitoa ana sababu za msingi...na inawezekana ameona hasara ni nyingi kuliko faida. Mimi mwenyewe sikuwahi kufikiria kama itafika siku nijitoe fb maana imenikutanisha na watu wengi....nimejua vitu vingi na hata mafanikio kiduchu niliyonayo haya yamesababishwa na interaction nliyofanya facebook but it reached a time nikaona no way out....
 
Tuko hapa kubadilishana uzoefu kama huwezi kutoa sababu basi huna haja ya kutueleza lolote maelezo yako yanakuwa irellevant.
 
Tuko hapa kubadilishana uzoefu kama huwezi kutoa sababu basi huna haja ya kutueleza lolote maelezo yako yanakuwa irellevant.

Huyu mtu ameuliza namna ya kujitoa....ameuliza sababu za kujitoa?
 
Back
Top Bottom