Naomba Msaada Jinsi ya kujisajili NACTE

Naomba Msaada Jinsi ya kujisajili NACTE

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
1,739
Reaction score
3,964
Wakuu, habari za majukumu.
Naombeni msaada wa maelekezo jinsi ya kujisajili NACTE na kufanya Application ya chuo kwa intake ya March/April. Nahitaji kuomba nafasi ya Diploma 2018/2019 kozi ya Afya. Maana nimejaribu kuingia Web ya NACTE Ila sijafanikiwa kabisa, atakaye nisaidia kwa hili hawezi kukosa pesa ya Maji ya kunywa.
Karibuni Kwa Msaada.
 
hamna chuo cha afya kilicho ruhusiwa kuchuwa wanafunzi march/april intake ....subiri aug/ sept intake......according to nacte
 
samahn ndugu nimekosea ...unaweza kufnya kupitia chuo moja kwa moja lakini vyuo ambvyo vimeruhusiwa na nacte
 
Tiyari NACTE wameruhusu udahiri katika course za afya ngazi ya diploma kwa intake ya march/april 2018....!pia wameweka na orodha ya vyuo ambavyo vimeruhucwa kufanya udahili pamoja na procedure za kufata
 
Nacte ya wapi hiyo
 
Kaka lin hiyo?
 
Back
Top Bottom