Osaba
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,942
- 802
Kila nikijaribu kufanya factory reset ya hii simu kwa kutumia njia ya kawaida yaani up, down na off, on button inashindwa ku wipe all data yaani inarudi kwenye hali yake ya awali ambayo imefungwa kwa password mwenyewe kasahau namba za kufungulia anaejua kwa kutumia pc msaada plz.
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
Sent from my iPhone 4S using JamiiForums