Naomba msaada jamani!

Naomba msaada jamani!

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Kwa wauza maduka ya tv mafundi na wataalamu wote!
Naomba kujua ni Tv aina gani hizi za flat zina ubora zaidi na bei yake ikoje?
Nawasilisha!
 
unataka tv ya inchi ngapi? in general nunuwa samsung hd 26" shilling laki saba.
 
Back
Top Bottom