Naomba msaada jamani

Naomba msaada jamani

0762713479

Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
8
Reaction score
1
Mimi ni kijana ninasoma ngazi ya diploma mwaka wa kwanza katika chuo cha ualimu tabora nachukua CHEMISTRY and BIOLOGY. Nilitafuta shule nikafundisha nikapata hela kidogo ya kuanzia muhura wa kwanza wa masomo. Mwezi wa tatu tulifunga chuo mwezi mmoja nikaenda nyumbani kutafuta ada . Saizi tumefungua chuo ila nilienda kuvua samaki ukerewe nikapata laki mbili na ninatakiwa nilipe laki tano maana niliacha deni uko nyuma ndo niweze kusajiliwa na kupewa godoro ili tuanze muhura wa pili. Naomba Wana jf yeyote mwenye uwezo anisaidie
 
uza tena na sim yako iyo uongeze hela maana ada ni lk6 vyuo vya ualimu kwa mwaka
 
Back
Top Bottom