naomba msaada jamani Nokia N73

naomba msaada jamani Nokia N73

kdany

Senior Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
149
Reaction score
25
natumia nokia N73 lakini kwa siku mbili hz,inaonesha msg zmejaa kwenye simu yangu wakati hakuna msg hata moja,vilevile hata kusave number inagoma kuna msg inatoke"not enough memory check push to talk seting" nashndwa hata kuche mcd,received or dialled calls.naomba msaada kwa anaejua anpe msaada.thanx in advance.
 
Huenda kuna mafaili katika simu yako ambayo yanamaliza memory. Yanaweza kuwa kwenye system file folders na cache memory. Mafaili haya yanaweza kuwa magumu kuona na kudelete kwa sababu yanakuwa na read-only au hidden properties. Sasa kama una PC download oxycube software for symbian OS. Kisha unganisha simu yako kwenye computer. Utaweza kuanika mafaili yote na kudelete yale yaliyojipachika na kumaliza memory.
 
oh, my JF!!
 
mkuu nashukuru kwa msaada wako,bt vp km cna pc kuna njia mbadala ya kutumia tofaut na hyo coz hapa nlpo hata cables hazpatkan.
 
N73 ndio ninayoitumia hadi nacomment hapa ni kweli zina uhanith flani wakukuandia mtumiaji eti memory full please delete some items data yani hutumi sms wala nini ila nilichogundua ni kwamba uwezo wake wa kuhifadhi mafaili ktk mcd hauingii moja kwa moja bila kupitia phone memo kwa hiyo kama huwa kuna appl unapokea kwa kutumia bluetooth bila ku download hapo ndio kimbembe maana hazifik moja kwa moja ktk mcd bila kuptia 4n memo cha muhimu nenda ktk galari na ufute ma faili usiyoyahitaji(kumbuka iwe ktk 4n memo) angalau upate 2mb empty hapo utaona utata hamna ila swali lingine mcd yako ina ukubwa gb ngapi? Maana haya ma N73 mcd yake ni makubwa utafikiri kabati(sio ukubwa wa ujazo ila ukubwa wa muonekano)
 
mkuu nashukuru kwa msaada wako,bt vp km cna pc kuna njia mbadala ya kutumia tofaut na hyo coz hapa nlpo hata cables hazpatkan.

Kuna fail managers unazoweza kudownload katika simu yako na kuexpose mafali yanayokusumbua. Lakini wasiwasi wangu ni kama simu haitalalamikia memory wakati wa kudownload. Mfano unaweza kujaribu hii software. (Chagua enlish version-ni faili dogo tu 119kb)Ukifanikiwa kudownload tembelea kila folder uone kama kuna faili usilolijua halafu lifute. Kama linagoma nenda kwenye options check kama hilo fail ni read-only au hidden badilisha property ya fali kisha futa.ikiwa bado linakataa exit file explorer jaribu kudelete kwa kutumia file system ya simu.
 
Back
Top Bottom