Naomba msaada haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba msaada haraka

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Original Pastor, Jul 31, 2010.

 1. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ITIFAKI IMEZINGATIWA WANA JF

  NAOMBA MSAADA WA KU RECOVERY AU KU INSTALL BUT WEWE UNAWEZA KUSEMA ITAKAA VIPI KWENYE MIND YAKO MAANA HAPA NI KUJUA TU. LOTUS ADDRESS TUNAYOTUMIA HAPA OFISINI KWETU IMEKUWA INAKUWE ISOMI EMAIL ADDRESS SASA INAFUNGUKA KISHA LAKINI INAKUWA INAKATAA KULOAD MAIL ILI ZIFUNGUKE JE KATIKA WIN XP PRO UNAKWENDA WAPI ILI NIWEZE KU RESTORE ILIRUDI KAMA MWANZO NIME COPY KI FILE MKITIZAME.
  [Notes]
  KitType=1
  Directory=D:\Lotus\Notes\Data
  InstallType=2
  FaultRecovery_Build=Release 8.0.1
  Timezone=-3
  DST=0
  DSTLAW=4,1,1,10,-1,1
  NSF_HOOKS=NLNVP
  FileDlgDirectory=C:\Documents and Settings\Administrator\My Documents
  AddInMenus=C:\PROGRA~1\Adobe\ACROBA~1.0\PDFMaker\Mail\LOTUSN~1\PDFMLO~1.DLL
  AdobePDFMInst=1
  EXTMGR_ADDINS=AdobePDFMToolbarInst
  InstallMode=1
   
 2. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jaribu hii:
  Mwanzo
  Programu
  Akisesolizi
  Sistimu tooluzi
  Sistimu resito
  Chagua tarehe ya nyuma kabla mabadiliko hayajatokea
   
Loading...