Naombeni msaada mwenye kujua tatizo hili:
Mafaili baadhi kutokufunguka na yote ni video player na kuandika hivi(0xc0000005) nifanyeje nimecheza nayo wee wapi au ni antvirus nitumie? Msaada naomba wanajamii

Ndugu kwan unatmia player gani? Jarib VLC ila hakiksha ni ya window yko (VLC PLAYER 64bit) ikizinguw itabid update antvirus na scan system/mashine kwa ujumla

Asante mjomba ila niliifuta hii player na nikaijaza upya bado ikafanya kazi kisha ikarudi tena hivyo ila hapa ninatumia player ipo kama promo tu ndio inafanya kazi but nimeizoea hii ya vlc but inaandika hizo namba