Nami nina hitaji la design hiyo.
Nime check Alibaba wanazo hizo touch screen. Nimewasiliana nao Tatizo wanaishia kuniambia bei inayoishia FOB tu. Kila nikiwauliza wanipe bei ya kusafirisha mpaka Dar kwa njia yeyote hawanipi. Anayejua nikishalipia FOB price naendeleaje na michakato kukileta mpaka kifike Dar anisaidie
Alibaba mimi siwaamini kabisa...na sitamani kufanya biashara nao. Unaonaje ukacheki Ebay au Amazon? pia angalia anayeuza kama ana recomendation kutoka kwa walionunua bidhaa kwake.
Wauzaji wengi wa China (Hongkong nk) sio wakweli hivyo...kuwa mwangalifu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.