Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,437
Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao ya posa. Kuna mambo ananifanyia nikimpgia sim, mara nipo na mama, nipo church, nitakupigia baadae kidogo, nmelala na shangazi. Hivi kweli nikimuoa atanifaa huyu?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hayatuhusu. Haya ni mambo yako binafsi.