Naomba mnishauri

Naomba mnishauri

Mchafukoga

Member
Joined
May 25, 2013
Posts
38
Reaction score
3
Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao ya posa. Kuna mambo ananifanyia nikimpgia sim, mara nipo na mama, nipo church, nitakupigia baadae kidogo, nmelala na shangazi. Hivi kweli nikimuoa atanifaa huyu?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mmmh SALT hebu nishaur sasa anafaa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama yuko church ulitaka akwambie yuko sokoni?
Kama yuko na mama/shangazi ulitaka ajiachie tu?
Kua kwanza ndio upeleke barua ya posa!!
 
Bize kila muda GEORGE

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao ya posa. Kuna mambo ananifanyia nikimpgia sim, mara nipo na mama, nipo church, nitakupigia baadae kidogo, nmelala na shangazi. Hivi kweli nikimuoa atanifaa huyu?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mchafu kuoga na umri gani?
 
Nimeshakua Ennie

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Miaka 30 Eiyer

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wacha uboya jamaa mwambie kama unataka kuolewa na mimi basi cpend hii tabia nukta, ukpga akizingua usimpigie wiki nzima uone matokeo yake...
 
Habarin za jumapili waungwana. Natumain wote ni wazima wa afya. Naomba nishauriwe kuhusu hili. Ninampenzi wangu ninampenda sana na yeye ananipenda, imefikia hatua ya kunitaka nipeleke barua kwao ya posa. Kuna mambo ananifanyia nikimpgia sim, mara nipo na mama, nipo church, nitakupigia baadae kidogo, nmelala na shangazi. Hivi kweli nikimuoa atanifaa huyu?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Kwani wakati hamjaamua kuoana ilikuwaje?
 
Alikuwa bize sana kuchat na mimi ingawa hata sasa anachat ila speed imepungua kapalamsenga

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Huyu mwanamke mke ameniuguza muda mrefu na wazazi wangu wanamtambua na wanampenda, so nimaamuzi gan yaliyo magumu Jose

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom