Naomba mnishauri niombe course gani NACTE?

Fanya mpango mwakani uende Engineering DIT au ATC

nadhani sikuwa na sifa ndugu.Nashukuru kwa ushauri wako.
 
Soma diploma ya engineering achana na mambo ya kurudia mitihani hasa ungesoma mambo yanayohusiana na ardhi diploma yake inamarket kuliko degree ya public administration au human resource.
 
Mkuu wewe ni engineering tu. Ulisoma shule maalum ya ufundi. Kwa ufaulu wako kila diploma ya engineering unasoma. Kazi kwako kujipanga. Tafta pesa soma mwakani . Mwaka huu samehe tu mkuu.

hata ualimu nitasomea ingawa ni level ya primary!no way!
 
Tatufa vyuo vya ardhi diploma yake hufi njaa town utakuja kukumbuka maneno yangu hasa masuala ya upimaji ardhi.
aloket kabisa icho chuo ili isimpe tabu kufuatilia na je kwa huu mwaka kuna chuo ambacho kina fanya direct kwel udahili
 
Soma diploma ya engineering achana na mambo ya kurudia mitihani hasa ungesoma mambo yanayohusiana na ardhi diploma yake inamarket kuliko degree ya public administration au human resource.

Ushauri mzuri huo,ingawa hata ualimu sina tatizo nao ingawa level yenyewe ndio hiyo ya shule za msingi!
 
Tatufa vyuo vya ardhi diploma yake hufi njaa town utakuja kukumbuka maneno yangu hasa masuala ya upimaji ardhi.

naomba majina ya baadhi ya vyuo vinavyotoa diploma ya ardhi kama hautajali.
 
Kwa maelezo hayo ada utalipa kweli?
Kwanini usijaribu tena kurudia A level?
ada ya diploma ni ndefu sana kijana wangu.
 
Kwa maelezo hayo ada utalipa kweli?
Kwanini usijaribu tena kurudia A level?
ada ya diploma ni ndefu sana kijana wangu.

A-level kwa sayansi ni gharama ingawa si kama diploma

mfano,Organic Chemistry gharama yake inafikia 45,000

Inorganic Chemistry inafikia mpaka 35,000.

Hali ni ngumu pande zote

Lakini laiti kama Diploma maalum ya Ualimu itakuwepo mwaka ujao,nitaomba huko kwa sababu nasikia kuna mkopo wa ada ingawa sina uhakika ndugu yangu.
 
yah kak una safar ndefu sana miaka saba kuikuta degree ila yote mipango ya mungu
Miaka 6. Na unadhani mtu wa diploma akitoka hawezi kazi au? Huyo miakka mitatu tu anaenda kutafuta ajira.
 
Huna sifa vipi sasa wakati matokeo yako yapo ktk minimum requirements?

nadhani sikuwa na sifa za kwenda chuo kikuu,hizo ni alama nilizozipata kipindi mfumo wa GPA unatumika,siyo siku hizi ambapo division imerudishw.
 
Kwa maelezo hayo ada utalipa kweli?
Kwanini usijaribu tena kurudia A level?
ada ya diploma ni ndefu sana kijana wangu.
Mwache asome uzuri apate vya govt tu. Akitoka diploma akipata ajira atajisomesha hata bachelor. Kurudia ni kumpotezea muda kumbuka umri unakwenda. Na lengo lako kumwambia asome advance tena ili aje apate mkopo? Hivi wewe huoni maswala ya kitaifa? Wanafunzi wangapi wamekosa mikopo na sifa wanazo? Mimi naomba atumie busara kujitathmini upya. Ila azingatie muda. Miaka inayooyoma kwelikweli.
 
Wewe sasa hivi tafuta pesa uje usome engineering diploma.tena nenda mechanical. Serikali yetu haiitaji walimu ....kwanini unajitafutia maisha ya tabu kila siku?
 
Ni kweli unayoyasema rafiki,jambo muhimu ni kuangalia njia ipi unaweza kutokea.mikopo yenyewe shida tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…