Naomba mnisaidie sylabus ya english O level

nilikuwa nahitaj soft copy kama unajua website zinapo patkan unaweza ituma ndug
 
Aisee katika somo ambalo sijawai kukaa nikahangaika kusoma ni English,,maana sioni cha kusoma,nilisoma tu vitabu nikamaliza kazi,,hata Advance nilisoma tu vitabu vya literature na sijawai kupata chini A,
 
Nahitaji sylabus ya somo la english o-level kwa aliye nayo anisaidie. Ni muhimu sana
SYLABUS zote zipo kwenye tHL app.
Jinsi ya ku-install tHL app
---------------------------
1.Kwa simu Online version Nenda play store/window store SERACH tHL kisha install. 2. OFFLINE version (for Secondary Schools) Nenda www.thlappstore.co.tz kisha download. Kwenye hiyo site video ya installation ipo hapo (Fuata hiyo video STEP BY STEP). 3. Kwa computer download hapa tHL app ina Scholarships, Notes form I - VI na Ukurasa wa Jamii wenye makala zinazoeleza namna ya kuachana na Msongo wa mawazo na maelezo ya kuinstall kwenye computer haya hapa instructions .

Maelekezo zaidi
---------------
Contacts Office: 0767 663 951, 0674 338 033, 0785 909 038 - Upewe maelekezo.
 
Ahsantu ndugu
 
Aisee katika somo ambalo sijawai kukaa nikahangaika kusoma ni English,,maana sioni cha kusoma,nilisoma tu vitabu nikamaliza kazi,,hata Advance nilisoma tu vitabu vya literature na sijawai kupata chini A,
Sio mbaya ukielewa somo huska
kwan kufaulu +kuelewa itapendeza zaid
 
Back
Top Bottom