K kimboka one JF-Expert Member Jan 23, 2010 734 85 Nov 19, 2011 #1 wakuu nisaidieni picha za nyumba za makuti pale dar manzese,gezaulole,mbagala,kimbiji nk ili mkuu wetu ajue wala si watalii au fashen ni ugumu wa maisha tu
wakuu nisaidieni picha za nyumba za makuti pale dar manzese,gezaulole,mbagala,kimbiji nk ili mkuu wetu ajue wala si watalii au fashen ni ugumu wa maisha tu
King Kong III JF-Expert Member Oct 15, 2010 51,697 68,682 Nov 19, 2011 #2 Haaaaaaaa mkulu kashasema kwamba sasa ni Fasheni kwa hapa dar