Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,441
Unaandika kama vile wote wanaujua huo mfumo? Ma kwamba wote ni watumiishi wa umma ?Wakuu salaam,
Naomba mnipe connection ili niweze kuhama kutoka halmashauri ili nihamie halmashauri x maana naona mfumo wa Ess sina hakika kama itaweza kunisaidia mimi kuhama kama kuna mjuzi wa kunisaidia ili nihame namuona inbox tafadhali
AfyaUpo kada gani?
Milioni 2 si ishu kiongoziAndaa 2M
Boss anza tu kununua mshambaWakuu salaam,
Naomba mnipe connection ili niweze kuhama kutoka halmashauri ili nihamie halmashauri x maana naona mfumo wa Ess sina hakika kama itaweza kunisaidia mimi kuhama kama kuna mjuzi wa kunisaidia ili nihame namuona inbox tafadhali
Nimempa angalizo hapo juu awe makini, atamtaja aliyempatia huo uhamisho π.Afu hili la kuhusu uhamisho, na most huwa fake, limesemwa leo mahali fulani.
Waajiriwa muwe makini, huko ofisini watu wanatoa barua fake za uhamisho ili wapate chochote kitu, huku mfumo hdutambui uhamisho huo, mwisho wa siku muhusika kinamlambaa.
Kuna mwl wa sec, ana haha na hili la uhamisho fake. Lol
ππππππNimempa angalizo hapo juu awe makini, atamtaja aliyempatia huo uhamisho π.
Last week wamekumbwa nalo wengi.
Hii ilimkuta mwalimu fulani kutoka mtwara kahamishiwa mbeya masikini baada ya miezi minne ,anapigiwa simu anaambiwa ni mtoro kazini ikabidi arudi kituo chake cha awali na huku alikuja na mke na alishaanzisha nyumba na maisha mengine ,imebidi amuache mkewe na wahuni nao hawako nyuma kumuumiza mtumishi huyu masikini .Tajiri wa kusini huko kusini si ndo kwenyewe? Ni mwendo wa ufuta korosho na mbaazi.
Uwe makini kuna barua fake nyingi za uhamisho, wanaokutwa nazo wanafunguliwa kesi.
(Barua inatoka ofisi husika lakini inakuwa ya magumashi).
Pole sana kwake.Hii ilimkuta mwalimu fulani kutoka mtwara kahamishiwa mbeya masikini baada ya miezi minne ,anapigiwa simu anaambiwa ni mtoro kazini ikabidi arudi kituo chake cha awali na huku alikuja na mke na alishaanzisha nyumba na maisha mengine ,imebidi amuache mkewe na wahuni nao hawako nyuma kumuumiza mtumishi huyu masikini .
Awe makini sana aisee
Hakika ila tamaa pia ni chanzo cha wajanja kuongezekaPole sana kwake.
Wajanja wajanja wamekuwa wengi sana.
Kuna siku nipo Dom nimekaa kwenye kimgahawa fulani, kila aliyekuwa pale anaongea simu za deals tuππ. Nikajisemea hapa mtu kuingizwa chaka ni dakka 0 tu.Hakika ila tamaa pia ni chanzo cha wajanja kuongezeka
Matapeli wakubwa kwasasa wamehamishia makazi na ofisi zao makao makuu ya nchiKuna siku nipo Dom nimekaa kwenye kimgahawa fulani, kila aliyekuwa pale anaongea simu za deals tuππ. Nikajisemea hapa mtu kuingizwa chaka ni dakka 0 tu.