Naomba mnisaidie kimawazo

Mwanaume anayestahili kua na wivu Ni Yule anayemhudumia msichana kwa kila kitu na mama mzazi wa binti.
Unatoa laki kwa wiki halafu unajitia unawivu
Neno umalaya limebadilishwa kwa kupunguzwa ukali wa maneno wadada wa mjini ndo mnaita “kuhudumiwa “ au sio
 
Si umwache au unamvumilia sababu ana hela, maana wanawake wengi wenu mna kauli mbiu "heri kulia kwenye V8,kuliko kucheka kwenye baiskeli ".
 
Inabidii niachane naye kabisa
Wahivyo wanakuaga wahuniiiii

Kuna huyo alimchumbia jirani yangu hadi alikua anampigia simu jirani mwingine aongee nae kama yupo nyumbani kweli, ye kajua anapendwa kilicho mpata!
Bwana alikua anatongoza rafiki zake wooote wakimwambia mdada, jamaa anasema wao ndo wanamfata tena anatongoza face to face sio kwa simu

Huyo ni moja wapo wengine
 
Siwezi afiki jambo lolote ila sijui hiyo department kweli
 
Si umwache au unamvumilia sababu ana hela, maana wanawake wengi wenu mna kauli mbiu "heri kulia kwenye V8,kuliko kucheka kwenye baiskeli ".
Ni kweli au uje unisaidie nimuache itakuwa busara
 
Huyu mwanaume ni mumeo au boyfriend. Na kama ni boyfriend kwa nn unalala naye[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3]
Halafu tukichukuliwa nyota nakupigwa matukio tupo hapa tunajielezea kama nini
 
Njoo kwangu Sina wivu kifupi sikufatilii ila tu ujue kunipikia ubwabwa wenye matandu juu na ukoko usioungua😄😄😄
 
Kabisa kabisa...Yaan hawanaga akili ya kujisimamia wanaume wa hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…