Naomba mnisaidie kimawazo

Halafu huyo mwanaume anayepoteza muda wake kuwa na mcharuko kama wewe itakuwa hazimtoshi.
 



Ila hela zake unapenda?
 
Tafuta Mzungu Kama hutaki kuulizwa nyendo zako,sisi wa Africa lazima tujuwe wake na wapenzi wetu nyendo zao!!
 
Mimi sijaelewa point yake for real😂
Point ni hivi nitamuachaje mtu ambaye ni anakuandama huishi kwa amani huyu ni mpenzi wangu , sasa anawivu kupitiliza so hadi imekuwa keroo nataka nimuache ila siwezi couse niking'ang'anizi , so naomba idea ya kumuacha kwa amani ili niendeleee na maisha yangu
 
Mwanaume anayestahili kua na wivu Ni Yule anayemhudumia msichana kwa kila kitu na mama mzazi wa binti.
Unatoa laki kwa wiki halafu unajitia unawivu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…