Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
anakupenda kwa dhati we kuwa muwazi tuu kwake yaani toa maelezo yaliyonyooka.Sasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo.
Anaboa kabisa sana sana.... aisee kunaboa kabisa
njoo kwangu uondoe stressSasa nipo serious kidogo , So siitaji keroo.
Nauliza tu hivi kwa hawa wanaume wanaokupenda , wanakujali halafu mwisho wa siku wanawivu mno sana , ukiwa sehemu hii nimekuona , wapi sehemu fulani upo nafulani ninani yako?? Sasa yeye hana kazi,kazi ni yakukufuatilia wewe
Anaboa kabisa sana sana.... aisee kunaboa kabisa
Sasa nifanyaje kama ndio shida hiyo Imekuwa hivyoo maana imekuwa mbaya hali ni mbayaSasa hivi anaweza kua king'ang'anizi unamuacha.
Ila baadae tutakuona ukitoka kwa Mwamposa kuomba Mungu akupatie Mume, huku ukiwa umeshika maji na mafuta.
Naomba jinsi yakumuacha maana ukimuacha hakuelewi eti kuwa umemuachaAchana nae maisha sio magumu hivyo
Anatesa kweli kweli kiakili huna raha wala hupumuiAtakutesa mpaka ukome...
Usijesema sikukwambia...
Wivu Huwa hauishi...
Haya nitafanyaje aniache maana haachiki kirahisi etiKwani mmegundishwa kwa DELO MONOPOX? Kama unaona mtu hamuendani kwanini na wewe unaendelea kumn'ang'ania?
Achana nae.
Fanya maamuzi mwenyewe...Anatesa kweli kweli kiakili huna raha wala hupumui
Haachiki amekuwa nani? Achana nae akiku harass mchukulie RB atakuacha tu.Haya nitafanyaje aniache maana haachiki kirahisi eti